Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wananchi Arusha wavamia gari la DC kwa mawe na kuvunja vioo (video+)

Video Archive
Wed, 29 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa Wilaya ya Monduli , Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji Ngarama mapema kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini.

Mkuu wa Wilaya ya Monduli , Frank Mwaisumbe amemsimamisha kazi mwenyekiti wa Kijiji cha Engaroji Ngarama mapema kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuhamasisha wananchi kushambulia Kwa mawe msafara wake na kuvunja vioo vya magari likiwemo gari lake la ofisini. Akitoa ufafanuzi mbele ya Waandishi wa habari, Mwaisumbe amesema kuwa Septembe 24 mwaka huu akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo walienda katika kijiji hicho kwa lengo la kubaini tuhuma mbalimbali za ubadhilifu wa fedha zinazomkabili mwenyekiti huyo.

Chanzo: millardayo.com