Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanafunzi 759,706 waliofaulu wachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza (+video)

Video Archive
Fri, 18 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Jumla ya Wanafunzi 759,706 sawa asilimia 91.1 kati ya Wanafunzi wenye sifa za kujiunga na Kidato cha Kwanza, wamechaguliwa kujiunga na masomo kwa mwaka 2021.

Waziri wa Nchi katika Ofisi ya TAMISEMI, Selemani Jafo amesema, kati ya waliochaguliwa, 368,174 ni Wavulana na Wasichana ni 391,532. Wanafunzi 4,169 wamechaguliwa kujiunga na Shule za Bweni.

Jumla ya Wanafunzi 74,166 sawa na asilimia 8.9 wakiwamo Wavulana 34,861 na Wasichana 39,305 hawakupangiwa shule katika Awamu ya Kwanza kutokana na uhaba wa Vyumba vya Madarasa.

Chanzo: millardayo.com