Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wahamiaji haramu 57 wakamatwa Mbeya (+video)

Video Archive
Thu, 17 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji limefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 57 wote raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji limefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 57 wote raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali.  Jeshi la Polisi lilipata taarifa toka kwa raia wema kuwepo kwa watu wanaowatilia mashaka huko Kijiji cha Bulongwe kilichopo Kata ya Masoko, Tarafa ya Pakati, Wilaya ya Rungwe na kisha kufanya ufuatiliaji na ndipo tulifanikiwa kuwakamata raia 57 wa Ethiopia pamoja na wenyeji Watanzania wawili.

Chanzo: millardayo.com