Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali ya awamu ya tano imejipambanua kama serikali ya kusema na kutenda ameyasema hayo kwenye hafla ya Uapisho wa Mawaziri na Naibu Mawaziri, Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Kassim Majaliwa amesema serikali ya awamu ya tano imejipambanua kama serikali ya kusema na kutenda ameyasema hayo kwenye hafla ya Uapisho wa Mawaziri na Naibu Mawaziri, Dodoma “Serikali ya Awamu ya Tano imejipambanua kama serikali ya kusema na kutenda, sisi mawaziri kazi yetu ni kwenda kutenda. Serikali yetu imeshatujengea msingi wa imara kwa yote tunayoyataka kwenda kuyatenda” Mhe. Kassim Majaliwa.