Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vigogo UCSAF, TTCL na Shirika la Posta wamejitakia wenyewe kutumbuliwa

Samia Uwanjani UCSAF, TTCL na Shirika la Posta

Wed, 24 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hawa Wakurugenzi na wenyeviti wa Bodi wa UCSAF, TTCL na Shirika la Posta wamejifukuzisha kazi wenyewe.

Rais anamtumbua mtu halafu wewe unamuandikia barua ya shukrani? That was sabotage na ni dharau kwa Rais. Huyo mnayemshukuru, yeye hajamshukuru Rais aliyemteua. Mpaka sasa yupo kimya, ishara ya dharau kwa mamlaka.

Sasa nyie mlipata wapi ujasiri wa kumshukuru mtu ambaye yeye mwenyewe hana shukrani kwa boss wake? Yani mnajifanya mnampenda sana Waziri kuliko Rais aliyemteua?

Yani nyie mna uchungu nae sana kuliko mamlaka yake ya uteuzi? Uchawa ukizidi kuna malipo, nanyi mmepata malipo yenu. Sasa kichaa amefukuzwa na makopo yake. Ubaya Ubwela.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live