Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video: Mwanasheria wa TSNP afunguka sababu za kuwashtaki IGP, DPP na DCI

Video Archive
Wed, 21 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Mwanasheria wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Paul Kisabo ameshawasili Mahakama Kuu kwaajili kusikiliza shauri la maombi ya kutaka DPP, DCI, IGP wajibu mashtaka kwanini hawajamleta Abdul Nondo Mahakamani na wamemshikiria kinyume na sheria.

Chanzo: bongo5.com