Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Wananchi wapanga kufanya tambiko kaburi la JPM

Video Archive
Thu, 17 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuenea kwa taarifa mitandaoni sakata la Wananchi kupanga kwenda kwenye kaburi la hayati Magufuli kufanya tambiko, sasa Mkuu wa Mkoa wa Geita Rosemary Swenyamule amezungumza taarifa hizo.

‘Na mimi nimeliona kwenye mitandaoni ila sina taarifa rasmi kamili zinazohusiana na jambo hilo, tunafahamu ukimzungumzia hayati Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa Nchi hii na kiongozi wa kitaifa’- RC Geita

‘Kwahiyo tungependa kutoa wito kwa Wananchi wanapopanga shughuli hizo aidha wapite Serikalini ama wapite kwa Familia watu ambao wataweza kuratibu zoezi hilo’- RC Geita

Chanzo: www.tanzaniaweb.live