Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Tamko la Serikali nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma

Video Archive
Fri, 29 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 29,2022 ametoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma nchini, na kueleza kuwa nia ya Rais Samia katika suala hilo ni njema kwani tayari maboresho kwa watumishi hao yanafanyika ikiwa ni pamoja na suala la kupandishwa madaraja, kupunguza kodi kutoka kwenye digiti mbili kwenye digiti moja, sambamba na kuwalipa wastaafu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 29,2022 ametoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma nchini, na kueleza kuwa nia ya Rais Samia katika suala hilo ni njema kwani tayari maboresho kwa watumishi hao yanafanyika ikiwa ni pamoja na suala la kupandishwa madaraja, kupunguza kodi kutoka kwenye digiti mbili kwenye digiti moja, sambamba na kuwalipa wastaafu. Video kwa hisani ya TBC Taifa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live