Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Rais Samia akiondoka nchini kwenda Malawi

Video Archive
Mon, 16 Aug 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Agosti 16, 2021 ameondoka nchini kuelekea Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika kuanzia tarehe 17-18 Agosti, 2021.

Chanzo: globalpublishers.co.tz