Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Malasusa afichua siri mwili wa Lowassa kuagwa bila kufunuliwa

Lowassa Deaddd).jpeg VIDEO: Malasusa afichua siri mwili wa Lowassa kuagwa bila kufunuliwa

Wed, 14 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa amesema hakuna ulazima katika kanisa kufungua na kuona mwili wa mwanadamu aliyefariki, na sio sheria kufanya hivyo.

"Tuwe tunatazamana tukiwa hai tusisubiri mtu amelala, msifikiri kwenda kuaga lazima ufungue mtu wamuone siyo lazima", amesema Malasusa.

Malasusa amesema hayo leo Februari 14, 2024 katika ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa aliyefariki dunia Februari 10 2024.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live