Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Utata!! Vijana watano watoweka, Familia zawalilia "Mochwari, Polisi hawapo" -VIDEO

Video Archive
Fri, 21 Jan 2022 Chanzo: millardayo.com

Ni Kutokea Dar es Salaam ambapo imeripotiwa kutoweka kwa vijana watano ambao hawajulikani walipo na wala hakuna mawasiliano yao.

Ni Kutokea Dar es Salaam ambapo imeripotiwa kutoweka kwa vijana watano ambao hawajulikani walipo na wala hakuna mawasiliano yao. Inadaiwa vijana hao watano wamepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwaka jana 26/12/2021.

Chanzo: millardayo.com