Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Utani wa Mwijaku wakifanya shopping kwenye duka la Max (Video+)

Video Archive
Sun, 25 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni July 23, 2021 kwenye Mall ya Palm Village Mikocheni kwa Warioba ambapo ulifanyika uzinduzi wa Duka Jipya la Max lililowakutanisha mabalozi na wadau wa GSM.

Miongoni mwa wadau waliohudhuria hafla hiyo ni Mtangazaji Millardayo, Mwana FA Mwijaku na wengine.

Ayo TV  nimekusogezea ujionee utani wa Mwijaku kwa Millard huku wakifanya shopping kwenye duka la MAX linalopatikana katika jengo la Palm Village Mikocheni Dar es Salaam

Chanzo: millardayo.com