Menu ›
Habari
Mon, 9 Aug 2021
Chanzo: millardayo.com
Siku chache zilizopita ilisambaa video Mitandaoni ikionesha Mwanaume na Mwanamke wakiwa wanapigwa kwa madai ya kwamba wamefumaniwa, video hii ilimuibua Waziri wa Mambo ya Ndani.
Siku chache zilizopita ilisambaa video Mitandaoni ikionesha Mwanaume na Mwanamke wakiwa wanapigwa kwa madai ya kwamba wamefumaniwa, video hii ilimuibua Waziri wa Mambo ya Ndani. George Simbachawene ambaye aliagiza waliowafanyia kitendo hicho wakamatwe na akapiga marufuku matukio ya kupangwa ya fumanizi hasa kwa Watu ambao hawana vyeti vya ndoa.
Chanzo: millardayo.com