Ni baada ya headlines za Sakata la kufumania baada ya kauli ya Waziri wa Mambo ya ndani George Simbachawene inayoelekeza ukifumania ni lazima uwe na cheti cha Ndoa, Sasa tunae Mwanasheria Hamza Jabir ambaye amefafanua vizuri kuhusu Sheria hiyo, na ameeleza adhabu ya mtu aliyefumaniwa pamoja na makosa ambayo hutakiwi kufanya wakati unafanya fumanizi ili Kesi isikurudie.
Ni baada ya headlines za Sakata la kufumania baada ya kauli ya Waziri wa Mambo ya ndani George Simbachawene inayoelekeza ukifumania ni lazima uwe na cheti cha Ndoa, Sasa tunae Mwanasheria Hamza Jabir ambaye amefafanua vizuri kuhusu Sheria hiyo, na ameeleza adhabu ya mtu aliyefumaniwa pamoja na makosa ambayo hutakiwi kufanya wakati unafanya fumanizi ili Kesi isikurudie. Unaweza ukaboyneza play kufahamu alichozungumza Mwanasheria Hamza Jabir kuhusu sheria pale mtu anapofumaniwa