Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujenzi Bwawa la Nyerere haujasimama, Mkurugenzi TANESCO afunguka

Video Archive
Tue, 21 Dec 2021 Chanzo: millardayo.com

Kutokana na taarifa zinazoendela katika mitandao ya kijamiii kuhusu kusimama ujenzi wa Bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere imemlazimu Mkurugenzi mtendaji wa TANESCO Maharage Chande kutolea ufafanuzi taarifa hiyo kuwa si kweli na kwamba ujenzi unaendelea Kama kawaida.

Chanzo: millardayo.com