Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Uchumi wetu kama tembo aliebebwa na sisimizi" Kishimba Bungeni (+video)

Video Archive
Sat, 19 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

“Nafikiri wachumi wetu wazidi kwenda kwa data ndani zaidi, leo hii uuzaji wa kuku wa kizungu waliosababisha ulaji wa kuku leo sio matajiri wala sio watu wa hali ya juu, waliosababisha ni watu wa hali ya chini ambao mpaka wamewezesha watu kula utumbo wa kuku, leo wanaweza kumkatakata kuku mpaka wa Sh 500 kwa hiyo wamefanya kile ambacho mnakiita kitaalamu “kuadd value” nafikiri hawa ndio wameadd value kuliko mtu yeyote mimi nilitegemea Serikali ikawape motisha na vijana wetu wanaomaliza shule tunategemea waende kwenye umachinga’-Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba

Chanzo: millardayo.com