Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UVCCM watoa onyo kali kwa watakaoandamana ‘Tutashiriki na polisi kulinda amani’

Video Archive
Mon, 12 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umetoa onyo kali watu wote watakaoandamana siku ya tarehe 26 April 2018 kwa kusema kuwa watakuwa sambamba na jeshi la polisi kulinda amani ya nchi pale watakapokuwa wamezidiwa.



Hayo yamesemwa na Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi mkoa wa Dar es salaam, Saady Khimji leo Jumapili Machi 11, 2018 kwenye mkutano na Waandishi wa Habari. Tazama video hapa chini

Chanzo: bongo5.com