Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UTAFITI: Joe Biden ana nafasi ya kumshinda Trump

9bebf6fa 4358 4c7e B65f F7e15628c353 Large16x9 42e9487716954d14ac2232bc84533160large16x9 Trumpbiden UTAFITI: Joe Biden ana nafasi ya kumshinda Trump

Tue, 8 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Utafiti uliofanywa na Kampuni ya FiveThirtyEight umesema, Mgombea Urais, Joe Biden (Democrat) ana nafasi ya kushinda katika Uchaguzi wa Marekani kwa 71.1%, huku akitabiriwa kushinda kwa kupata kura (Electoral Votes) 334 kati ya 538

Kulingana na utafiti huo imebainika kuwa katika maeneo mengi ikiwemo Majiji makubwa ya nchi hiyo, Rais Donald Trump anakubalika kwa 15.9% huku mpinzani wake, Joe Biden akikubalika kwa 84.1%.

Uchaguzi wa Nafasi ya Rais wa Marekani unatarajiwa kufanyika Novemba 3, 2020.

RAIS MAGUFULI “SHUKA KWENYE GARI” AMUITA MKEWE AMUOMBEE KURA BARABARANI

Chanzo: millardayo.com