Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tundu Lissu "Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia"

Arusha2 847x477 1 660x400.jpeg Tundu Lissu "Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia"

Thu, 3 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameahidi kuwa atahakikisha anarudisha mahusiano mema baina ya Tanzania na Dunia nzima.

Lissu amesema hayo akiwa Mkoani Shinyanga ambapo amesema nchi ya Tanzania haiwezi kuishi bila ya Dunia.

“Katika mambo ya kwanza ambayo tutayafanyia kazi ni kurudisha mahusiano mema na Dunia, sisi hatuwezi kuishi bila Dunia,Tanzania haiwezi kuishi bila Dunia” Tundu Lissu.

“Serikali yetu katika kukuza uchumi wa nchi, lazima tujenge mahusiano mema na Dunia, hatuwezi kuishi bila Dunia, Dunia inaweza ikaishi bila sisi” Tundu Lissu

RC ANDENGENYE KAZINI ”HUU NI MTEGO NIMEKUKOPESHA, WAPENI IMANI WANAFUNZI”

Chanzo: millardayo.com