Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tukio la mtu kupigwa risasi Mabibo, Kamanda ang'aka (+video)

Video Archive
Thu, 3 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Kamanda a Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhan Kingai amewataka watu wasitumie vibaya mitandao ya kijamii kwa kujazana hofu huku akitolea Mfano tukio la mtu kupigwa risasi lililotokea Mabibo.

Kamanda a Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhan Kingai amewataka watu wasitumie vibaya mitandao ya kijamii kwa kujazana hofu huku akitolea Mfano tukio la mtu kupigwa risasi lililotokea Mabibo. Akizungumza mbele ya vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam, pia Kamanda Kingai ametoa ONYO kwa watu wanaotumia barabara ya Magari Yaendayo Haraka “Mwendokasi”.

Chanzo: millardayo.com