Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama Wafuasi wa Chadema wakamatwa kwa kusema "Mbowe sio Gaidi"

Video Archive
Thu, 5 Aug 2021 Chanzo: millardayo.com

Baadhi ya Wafuasi wa CHADEMA waliofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wamekamatwa na Askari Polisi baada ya kuinua mabango na kupiga kelele kwamba “Mbowe sio Gaidi”.

Baadhi ya Wafuasi wa CHADEMA waliofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wamekamatwa na Askari Polisi baada ya kuinua mabango na kupiga kelele kwamba “Mbowe sio Gaidi”. Ayo TV inaripoti kutoeka Mahakamani muda huu unaweza ukatazama hapa kile kianchojiri muda huu Mahakamani.

Chanzo: millardayo.com