Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tazama Makamu wa Rais alivyoshangiliwa baada ya kusoma aya kwenye Biblia (+video)

Video Archive
Mon, 11 Jun 2018 Chanzo: bongo5.com

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amenukuu baadhi ya aya kutoka kwenye Biblia Takatifu wakati wa Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na Kumuweka Wakfu na Kumuingiza kazini Askofu Mteule Mchungaji Dkt. Isaac Kissiri Laiser na kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mteule Mchungaji Newton John Maganga katika Kanisa Kuu la Kiinjili la Kilutheri Tabora, Mtazame hapa akisoma kifungu cha Biblia.

Loading...
Chanzo: bongo5.com