Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tamko la serikali kuhusu video ya askari wakiwatesa majangili

Video Archive
Sat, 2 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Wizara ya Maliasili na Utalii imetolea ufafanuzi kuhusu picha na video inayosambazwa mitandaoni ikionesha tukio la Askari wa Uhifadhi kuwapiga na kuwatesa Watuhumiwa wa ujangili, Wizara imesema tukio hilo ni la zamani lilitokea Mwaka 2011 katika Pori la Akiba huko Rukwa.

Wizara ya Maliasili na Utalii imetolea ufafanuzi kuhusu picha na video inayosambazwa mitandaoni ikionesha tukio la Askari wa Uhifadhi kuwapiga na kuwatesa Watuhumiwa wa ujangili, Wizara imesema tukio hilo ni la zamani lilitokea Mwaka 2011 katika Pori la Akiba huko Rukwa. “Askari waliohusika na tukio hilo walichukuliwa hatua kali ikiwemo kufukuzwa kazi, Wizara imekuwa mstari wa mbele kukemea na kuchukua hatua kali pindi inapobaini ukiukwaji wa maadili na miongozo ya kazi unaofanywa na baadhi ya Askari na Watumishi wasiokuwa waadilifu”- Wizara

Chanzo: millardayo.com