Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TAZAMA Waziri Mkuu alivyombana kwa maswali mazito afisa wa ushirika (video+)

Video Archive
Mon, 20 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Septemba 19 ,2021 ameendelea na ziara yake Mkoani Kagera ambapo ametembelea kiwanda cha Kahawa Ngara kilichopo Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Septemba 19 ,2021 ameendelea na ziara yake Mkoani Kagera ambapo ametembelea kiwanda cha Kahawa Ngara kilichopo Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera. Akiwa kiwandani hapo hajaridhishwa na utendaji kazi wa Chama cha Ushirika cha wakulima Ngara hususani upande wa makato na bei kwa Mkulima na kueleza makato ambayo sio ya muhimu kumbebesha mkulima hali inayopelekea malipo ya Mkulima kuwa kidogo.

Chanzo: millardayo.com