Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANZIA: Mwele Malecela afariki dunia

Dr Mwele Malecela Low Res Mwele Ntuli Malecela

Thu, 10 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Habari za kusikitisha zilizotufikia hivi punde, zinzeleza kuwa Dkt. Mwele Ntuli Malecela amefariki dunia, Februari 10, 2022, Geneva mchini Uswisi.

Mwele Ntuli Malecela alizaliwa tarehe 26 Machi 1963, alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela alikua akifanya kazi na Shirika la Afya Duniani (WHO) ambapo alikua Mkurugenzi wa Udhibiti w a Magonjwa Yasiyopewa Kipaumbele.

Tutaendelea kukujuza zaidi, endelea kufatilia TanzaniaWeb

Chanzo: www.tanzaniaweb.live