Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TANESCO: Nunueni umeme kabla ya 5:59 usiku

Tanesco Pc TANESCO: Nunueni umeme kabla ya 5:59 usiku

Mon, 21 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataarifu wateja wake kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa LUKU ambayo yanatarajiwa kufanyika usiku wa Oktoba 21, 2024 kuanzia saa 5:59 hadi saa 09:00 usiku. TANESCO imesema wakati wa maboresho hayo, wateja hawataweza kununua umeme kwa muda wa saa 3, hivyo wananchi wamehimizwa kufanya manunuzi ya umeme mapema ili kuepusha usumbufu unaoweza kujitokeza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live