Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Steve Nyerere kafunguka kuukosa ukuu wa wilaya "Sijakasirika, kile kiti tu, nimepokea pole nyingi"

Video Archive
Mon, 21 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutangaza orodha ya aliyowateulia katika nafasi ya Ukuu wa Wilaya, sasa Ayo TV & Millardayo.com imempata Mwigizaji Steve Nyerere kujibu yale yanayoendelea mitandaoni juu wanaomsema kuhusu kukosa teuzi hiyo.

Chanzo: millardayo.com