Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Spika akutana na Naibu Waziri Mkuu

Biteko Tulia1.jpeg Spika akutana na Naibu Waziri Mkuu

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ofisini kwake Bungeni, jijini Dodoma leo Septemba 04, 2023.

Pamoja na mambo mengine, Tulia amemhakikishia Biteko kuwa Bunge litampa ushirikiano wa kutosha ili kutimiza na kufanikisha shughuli za Serikali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: