Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simbachawene awaonnya wenye IST ajali za barabarani

IST IST Simbachawene awaonnya wenye IST ajali za barabarani

Fri, 17 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, ametoa tahadhari kwa watumiaji wa vyombo vya moto ambao wanatarajia kusafiri kipindi hiki cha sikukuu kwa kuwataka kuwa waangalifu wawapo barabarani ili kuepuka jali zisizo za lazima.

Madereva wa magari ambao wamekuwa wakisafiri kwenda majumbani mwao msimu huu wa sikukuu ikiwemo wenye IST wameonywa kuwa makini na ikiwezekana wale wasio na uzoefu kuacha kuendesha magari hasa kwenda umbali mrefu msimu wa sikukuu.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi (@mwananchi_official)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live