Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali yasisitiza umuhimu wa lugha ya alama

Katambi Aitaka Tanesco Kuzingatia Maslahi Ya Watumishi Wake Serikali yasisitiza umuhimu wa lugha ya alama

Tue, 23 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali imeendelea kuchukua hatua stahiki kuhakikisha kuna upatikanaji wa mawasiliano ya Lugha ya Alama kwa watu wenye ulemavu katika sekta mbalimbali, ili kundi hilo liweze kupata haki ya kupata taarifa.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi ameyasema hayo mkoani Dar es Salaam wakati akifungua mafunzo ya Lugha ya Alama kwa watumishi wa Suma JKT Guard.

Katambi amesema Watu wenye ulemavu wamekuwa hawapati huduma kikamilifu kutokana na changamoto mbalimbali.

Nao wanufaika wa mafunzo hayo wamesema yatawasaidia kuongeza tija katika utendaji wao wa kazi pamoja na kutoa huduma bora kwa wananchi ikiwemo Watu wenye Ulemavu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live