Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali yakana kuangushwa Mahakamani, Bilioni 541 zaokolewa

Video Archive
Fri, 10 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Naibu wakili Mkuu wa serikali Boniface Ruhende amekutana na baraza la wafanyakazi wanaofanya kazi kwenye ofisi ya wakili mkuu ambapo wamezungumzia dhana ya mawakili wa serikali kushindwa kwenye kesi nakusema si kweli na kwamba mwaka 2020-2021 wamefanikiwa kuokoa Billion 541.

Chanzo: millardayo.com