Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali kuwekeza Bilioni 9 kwenye mabwawa ya majitaka (+video)

Video Archive
Tue, 15 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Serikali imepanga kuwekeza zaidi ya Bilioni tisa kwa ajili ya kupanua mabwawa ya kusafishia majitaka Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ili kuwapunguzia adhaa wananchi.

Serikali imepanga kuwekeza zaidi ya Bilioni tisa kwa ajili ya kupanua mabwawa ya kusafishia majitaka Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ili kuwapunguzia adhaa wananchi. Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi amesema Serikali inashugulikia mabwawa ya kusafishia majitaka Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, yenye mita za ujazo milioni 4.5 ambayo yamezidiwa uwezo na hivyo serikali itajenga mabwawa kufikia mita za ujazo milioni 16.

Chanzo: millardayo.com