Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#SamiaLive: Rais Samia Asimama Mbagala Kusikiliza Kero za Wananchi

Video Archive
Fri, 3 Dec 2021 Chanzo: Global TV Online

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo Desemba 03, amesimama barabarani kuzungumza na wananchi wa Mbagala katika Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam wakati akiwa njiani kuelekea Kisemvule, Mkuranga mkoani Pwani kwa ajili ya kushiriki uzinduzi kiwanda kipya cha Raddy Fibre Manufacturing, kilichopo wilayani Mkuranga, Pwani kinachotengeneza nyaya za mawasiliano kwa ajili ya mkongo wa Taifa.

Chanzo: Global TV Online