Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Samia Suluhu ndie Rais mpya wa Tanzania, ahutubia Taifa (+video)

Video Archive
Fri, 19 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Samia Suluhu Hassan tayari ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameapishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof.Ibrahim Juma na sasa kinachoendelea ni zoezi la kukagua Gwaride.

Chanzo: millardayo.com