Menu ›
Habari
Thu, 26 Jan 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Baada ya sakata la mke wa Dokta Mwaka, Quuen kudai talaka kuchukua sura mpya hapo jana, Januari 25, 2023 na uamuzi wa kuivunja ndoa hiyo kupitishwa na Baraza la Masheikh.
Baada ya sakata la mke wa Dokta Mwaka, Quuen kudai talaka kuchukua sura mpya hapo jana, Januari 25, 2023 na uamuzi wa kuivunja ndoa hiyo kupitishwa na Baraza la Masheikh. Sasa muhusika Mkuu Dokta Mwaka ameibuka na kuvunja ukimya huku akitoa shutuma nzito kwa Sheikh wa Mkoa.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live