Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabaya na wenzake walivyoletwa mahakamani na ulinzi mkali wa askari magereza (+video)

Video Archive
Fri, 18 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Arusha kwa ajili ya kujibu tuhuma za kesi  zinazowakabili ,Sabaya  na wenzake wanakabiliwa na  mashtaka matano.

Chanzo: millardayo.com