Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabaya asomewa makosa mapya matano "Alichukua milioni 90 kwa mfanyabiashara"

Video Archive
Thu, 9 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita wamesomewa shtaka la uhujumu Uchumi lenye makosa matano kwa madai yakuchukua milioni 90 kutoka kwa mfanyabiashara ili wasimchukulie hatua kwa kosa la ukwepaji wa kodi.Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia taarifa hiyo unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

Chanzo: millardayo.com