Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais wa Ufaransa Macron amuandikia barua JPM "mmeingia kabla ya wakati" (+video)

Video Archive
Thu, 3 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Balozi wa Ufaransa hapa Nchini Frederic Clavier amemkabidhi Prof. Kabudi barua iliyoandikwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kumpongeza kwa kuiwezesha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda uliopangwa.

Balozi wa Ufaransa hapa Nchini Frederic Clavier amemkabidhi Prof. Kabudi barua iliyoandikwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kumpongeza kwa kuiwezesha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda uliopangwa. ALIKIBA ALIVYOMTUMIA PACHA WAKE, WANAFANANA BALAAH

Chanzo: millardayo.com