Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia awasili DSM, kuuaga mwili wa Mfugale (+picha)

WhatsApp Image 2021 07 02 At 10.28.18 660x400.jpeg Rais Samia awasili DSM, kuuaga mwili wa Mfugale (+picha)

Sat, 3 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo tarehe 02 Julai, 2021 kwa ajili ya kushiriki kuaga Mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale.

CAG AELEZA RIPOTI ALIYOMPA RAIS SAMIA “NIMEPITIA MIAMALA YOTE ILIYOFANYWA BENKI KUU”

Chanzo: millardayo.com