Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia atuma salamu za rambirambi kwa familia ya Anna Mghwira

Dffiii 660x400 Rais Samia atuma salamu za rambirambi kwa familia ya Anna Mghwira

Fri, 23 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Anna Mghwira ambae aliwahi kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT  Wazalendo mwaka 2015 na baadae kuteuliwa kuwa RC Kilimanjaro amefariki.

Anna Mghwira ambae aliwahi kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT  Wazalendo mwaka 2015 na baadae kuteuliwa kuwa RC Kilimanjaro amefariki. Msiba huo mmegusa pia Rais wa awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambae ametuma salamu za rambirambi kufuatiwa kwa msiba huo.

Chanzo: millardayo.com