Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia amkumbuka Magufuli "Stesheni ya SGR Dar ipewe jina lake" - Video

Video Archive
Thu, 1 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia stesheni ya Reli ya Kisasa ya SGR ya mkoani Dodoma kuitwa jina lake na sasa itajulikana kama Samia Station huku stesheni ya Dar es Salaam ikipewa jina la mtangulizi wake, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia stesheni ya Reli ya Kisasa ya SGR ya mkoani Dodoma kuitwa jina lake na sasa itajulikana kama Samia Station huku stesheni ya Dar es Salaam ikipewa jina la mtangulizi wake, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. “Kituo cha Dar es salaam pale kwenye jumba la Tanzanite pale tutalipa jina la Magufuli kwa sababu ndiye ameanza ujenzi,” amesema Rais Samia Suluhu akizindua rasmi treni ya SGR Dar es Salaam - Dodoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live