Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia Suluhu Hassan awasili Muscat nchini Oman ziara ya kikazi siku 3

Sami Rais Samia akiwa Oman Muscat

Sun, 12 Jun 2022 Chanzo: Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Juni 12, 2022, amewasili Muscat nchini Oman kwa kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu.

Akiwa nchini humo, Rais Samia Suluhu Hassan amepokewa na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Haitham bin Tariq Al Said.

Rais Samia alipata mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo.

Chanzo: Tanzania