Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia Atua Jijini Mwanza - (Picha + Video)

Video Archive
Wed, 8 Sep 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 amewasili Uwanja wa Ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi zetu lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) na Kituo cha Makumbusho cha Bujora Mwanza.

Chanzo: globalpublishers.co.tz