Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia Alivyowasili Uganda

Video Archive
Mon, 12 Apr 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Uganda leo tarehe 11 Aprili, 2021 kwenda nchini Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Uganda leo tarehe 11 Aprili, 2021 kwenda nchini Uganda kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Vilevile, watahudhuria hafla ya utiaji saini Mkataba kati ya Serikali ya Uganda na Kampuni ya Mafuta ghafi ya Afrika Mashariki (EACOP) juu ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima (Uganda) kwenda Tanga (Tanzania)

Chanzo: globalpublishers.co.tz