Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Mwinyi kwenye uzinduzi wa Viwanda sita Zanzibar

Video Archive
Fri, 5 Nov 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi jana tarehe 4 Novemba amekagua na kufanya uzinduzi wa jumla ya Viwanda sita vilivyopo ndani ya Mkoa wa Mjini Magharibi ikiwa ni wiki yake ya kutimiza mwaka mmoja toka aapishwe kuwa Rais wa Zanzibar kwenye awamu ya nane.



Rais Mwinyi amezindua Viwanda vitano kikiwemo kiwanda cha Shear Illusions kinachojishughulisha na uzalishaji wa vipodozi pia Viwanda vidogovidogo Amani vitano na kukamilisha idadi ya Viwanda sita alivyozindua ndani ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.



Chanzo: millardayo.com