Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Mwinyi aapishwa kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri (+video)

Video Archive
Thu, 17 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Ali Mwinyi kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri ambapo atashiriki Kikao cha Kwanza cha Baraza la Mawaziri leo Ikulu Jijini Dodoma.

Chanzo: millardayo.com