Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Mwinyi "Nimeziba mianya ya wizi, wanachukua fedha za Serikali (video+)"

Video Archive
Sun, 19 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa juhudi za makusudi zimechukuliwa na Serikali anayoiongoza katika kuziba mianya ya wizi wa fedha za Serikali.

Alisema kuwa hatua hiyo ameichukua kwa sababu anataka fedha za Serikali ziingie katika mfuko wa Serikali ili ziweze kuwafaidisha wananchi walio wengi badala ya wale wachache.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

Chanzo: millardayo.com