Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Magufuli kuingia Bungeni kesho kutwa, atahutubia Taifa (+video)

Video Archive
Wed, 11 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli atalihutubia Bunge la 12 Ijumaa November 13, 2020 saa 3:00 asubuhi, Dodoma kuashiria kuanza rasmi kwa Bunge.

“Naomba Wabunge wote muwepo Bungeni siku hiyo, Rais atalihuhutubia Bunge lakini kupitia sisi atakuwa akihutubia Taifa” Spika Ndugai

HATIMAYE TUNDU LISSU AONDOKA NCHINI AENDA UBELGIJI

Chanzo: millardayo.com