Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Raia 59 wa Ethiopia wanaswa Mwanza, "wameingia kwa njia za panya" (+video)

Video Archive
Sat, 28 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mwanza inawashikilia wahamiaji haramu 52 raia wa Ethiopia waliokuwa wamejificha kwenye nyumba ya kulala wageni Mabatini na Bukuku kata ya Buhongwa katika Manispaa ya Nyamagana baada ya kuingia nchini Kinyume cha sheria.

Chanzo: millardayo.com