Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC Mstaafu Maganga afariki "moyo ulifeli" (+ Audio )

Video Archive
Fri, 22 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig.Jen Mstaafu Emmanuel Maganga amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Milambo Mkoani Tabora usiku huu, RC wa Tabora Dr. Philemon Sengati amethibitisha>>“moyo wake ulifeli, alikuwa na Kisukari na Presha, amefia Milambo Hospital Mkoani Tabora”

Chanzo: millardayo.com